Baada ya utambulisho wake kupitia website ya Baabkubwa hatimaye ngoma
yake ya kwanza hii hapa inayokwenda kwa jina la ‘Kula gambe’ ambayo ni
mkono wa producer mdogo
kabisa kutoka Uganda anayekwenda kwa jina la Naseem lakini studio
iliyotumika ipo hapa Dar pande za Kinyerezi , studio mpya kabisa
inayokwenda kwa jina la All Moon Records.
Kichupa cha ngoma hiyo kipo mbioni kutoka huku ngoma yake ya pili
aliyomshirikisha Mr. Blue ikiwa inamaliziwa kupikwa. Isikilize hapa
ngoma hiyo…
No comments:
Post a Comment