Mwanamuziki
ambaye sasa ameugeukia ujasiriamali kwa kasi kubwa, Maurice Kirya
kutoka nchini Uganda, anatarajiwa kutengeneza video ya rekodi yake mpya
ambayo inakwenda kwa jina The Blue Dress huko nchini Kenya, tarehe 5 mwezi huu.
Msanii huyu bado hajaweka wazi kuwa ni muongoza video gani atampatia shavu la kufanya video hii, na katika ratiba yake pia, siku ya tarehe nne atakuwa jukwaani akitumbuiza katika tamasha kubwa kabisa la Blanckets and Wine la kwanza kabisa kwa mwaka huu.
Maurice Kirya katika tamasha la Blankets and Wine atapata nafasi ya kutumbuiza jukwaa moja na wasanii wakali kabisa Afrika, wakiwepo Mafikizolo na bendi ya Mi Casa kutoka Afrika Kusini.

Print
No comments:
Post a Comment