Bila shaka umeiskia ngoma
mpya ambayo wakali hawa wawili wamefanya, Hemedy PHD pamoja na Gelly wa
Rhymes…Kwa kifupi, wameelezea jinsi idea ilivyopatikana pamoja na
nyimbo inahusu nini kiiundani. Pia, wamengelea maudhui ya nyimbo hii na
imechukua muda gani kuifanya ngoma hii…
No comments:
Post a Comment