DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, January 8, 2014

KEKO KUELEKEA SOUTH AFRICA KUIUZA ‘SAY YAA’

Keko ni rapper wa kike kutoka Uganda ambaye anaamini kwamba hakuna artist wa kike East Af
























  Keko ni rapper wa kike kutoka Uganda ambaye anaamini kwamba hakuna artist wa kike East Africa
anayeweza kumshinda kwenye aina ya music anoufanya. Takriban miezi mine au mitano sasa tangu Keko awe mtu wa kuishi South Africa pia Uganda for sometyms. Hivi karibuni Keko ambaye ni hit maker wa wa ‘Make you dance’ pia, alidondosha video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘SEE YA’ ambayo imeshutiwa South Africa akiwa chini ya llebo kubwa Africa ya Sony Music ambayo amesainishwa pia..

No comments: