DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Saturday, March 15, 2014

NAZIZ AFA KIMAPENZI KWA PRODUCER WA KIBONGO




















 


















Siku chache mmoja wa wanamuziki wa Reggae kutoka nchini Kenya Naziz alikiri kwamba ameachana na mume wake kutoka Tanzania ‘Vinny’ na wapo katika hatua za kupeana talaka wakiwa wana mtoto mmoja wa kiume.

Msanii Naziz ambaye ni mmoja wa wasanii kutoka kundi la Necessary Noize amekufa kimapenzi kwa mtanzania mwingine ambaye yuko Kenya akifanya shughuli zake za kimuziki kwenye studio ya HOMEBOYZ Production ya Kenya,kwa mujibu wa vyombo vya habari Naziz amekiri uhusiano wake na Herry Sappy ulianza tangu valentine day feb 14 Naziz anasema kwamba uhusiano wao ni wa dhati .


No comments: