DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Saturday, March 15, 2014

DIAMOND NA WEMA MOVIE BADO INAENDELEA
































Baada ya kutokea kwa mvutano maeneo ya Leaders club kati ya Wema Sepetu na Vicoria Kimani na kupelekea kuchaniana baadhi ya nguo na Diamond a.k.a Mr Ngololo kupanic sasa wema asema

” Da love of my life…. Dats wat he is…. Our life, our rules…. Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa…. I am his nd he is mine… dats jus it…. Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu…. Love him jus like dat…. Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja…. Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all… With all due respect stop ”

No comments: