ALiye kuwa mke wa msanii mkongwe hapa Tzee Seleman Msindi akak Afande Sele aliyefanikiwa kunyakua Tuzo ya Kilimanjaro musc Awards 2004.
Mama Tunda amesema kuwa hawezi kurudiana na Afande tena coz amechoshwa na tabia za Afande. Pamoja na kwamba alimpenda sana aliongeza kwa kusema.
Mama Tunda amesema kuwa hawezi kurudiana na Afande tena coz amechoshwa na tabia za Afande. Pamoja na kwamba alimpenda sana aliongeza kwa kusema.
“Afande Sele nimeishi naye zaidi ya miaka 12 kabla hajafuga rasta nimemvumilia mengi lakini mwisho wake nilichoka coz alikuwa ananipiga sana tu isitoshe nilisha wahi kumfumania na mwanamke aliye tokanaye kwenye shoo Dodoma Michepuko ya ke ndio iliyo nishinda.”
No comments:
Post a Comment