Ben Pol, msanii wa miondoko ya R&B hapa nchini, amepata shavu la kufanya onesho huko nchini Ujerumani, nafasi ambayo inakuwa ni ya kwanza na kubwa kabisa kwa msanii huyu kukwea katika jukwaa kubwa nje ya nchi.
Ben Pol atafanya onesho hili huko Munchen, Ujerumani siku ya tarehe 30 mwezi huu, onesho ambao linatarajia kutengeneza njia kwa msanii huyu kuelekea katika jukwaa la kimataifa.
No comments:
Post a Comment