“How time fly’s, My baby girl has become a woman,” ameandika P-Funk Majani aka ‘Dream Big’ kwenye picha ya mwanae mkubwa wa kike (jina lake halijapatikana mara moja) aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram. Mhh! Nani alitegemea kama producer huyo wa Bongo Records angekuwa na mtoto mkubwa hivi?
Mtoto wa kike wa P-Funk Majani
P-Funk ana mtoto mwingine mkubwa wa kike aliyezaa na Kajala aitwaye, Paulette.
Paulette(kulia) akiwa na mdogo wake (aliyebebwa) Victoria Kimani na meneja wake
Usishangae P kusikia amekuwa babu soon!!
No comments:
Post a Comment