DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Tuesday, April 15, 2014

PRODUCER TAJIRI ZAIDI TANZANIA








 

























Nadhani ulipata muda wa kuyaangalia magari ya kifahari wanayomiliki wasanii wa bongo , sasa ni zamu ya judge wa Tusker Project Fame na Producer hatari hapa bongo kutoka B’Hits namaanisha Hermes Baraka au Hermy B kukuonyesha magari ya kifahari anayomiliki.
Hermy B anamiliki Toyota LandCruiser VX, Range Rover Sport, Nissan Murano and a BMW 3-Series.Duh! noma sana aisee


No comments: