
Top in Dar aka Mnyama anatarajia kuachia single mpya aliyomshirikisha Jay Moe. Single hiyo ambayo itatoka Ijumaa hii inaitwa ‘Chumvini’.
Hivi karibuni muimbaji huyo mkongwe na kiongozi wa Top Band ambaye jina lake halisi ni Khalid Mohamed, aliachia video mbili kwa mpigo ikiwemo ya wimbo alimshirikisha Profesa Jay ‘Raha’.
No comments:
Post a Comment