DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, April 17, 2014

VERA SIDIKA NA PREZOO HATARI TUPU

10154176_687418141296209_4625239106071088368_n
 
 
Kama wote tunavyofahamu, curvaceous Vera Sidika alikuwa msichana kiongozai katika video kali mpya ya Prezzo ‘My Gal ‘ ambayo ipo katika albamu yake ijayo ‘Rapcellency.

Hii ni licha ya ukweli kwamba Huddah alikuwa mpenzi wa Prezzo wa zamani na ni Nemesis wa Vera Sidika . Hata hivyo Vera amepost hii picha ya Prezzo akimpa busu kali mwanana dada huyo anaye sumbua vibaya.

 

No comments: