Diamond Platnumz alipokuwa akiwasili kwenye mji wa Olathe jimbo la Kansas ilipo
Radio hiyo ya GENN kwa mahajiano kabla ya show yake inayotarajiwa
kufanyika muda si mrefu katika anuani ya 8625 Troost Ave, Kansas City,
Missouri.
Mtangazaji wa GENN Radio AJ (mwenye kofia
nyeusi wapili toka kulia) akimfanyia mahojiano Diamond Platnumz ndani
ya Studio ya Radio hiyo ambayo inapatikana mtandaoni www.gennmedia.com
wengine ni Dj Romy Jons Poromota DMK na Dj Boston (kulia).
Dj Boston na AJ wakimsikiliza Diamond Platnumz wakati akijibu moja ya maswali waliyomuuliza.
Mashabiki wakiwa ndani ya studio za GENN Radio wakimsikiliza Rais wa Wasafi akijibu maswali aliyokuwa akiulizwa na AJ.
Diamond Platnumz akiendelea kujibu
maswali aliyokuwa akiulizwa na AJ huku Dj Romy Jons akifuatilia kwa
makini maswali na majibu yaliyokua yakiulizwa AJ na kujibiwa na Diamond
Platnumz.
No comments:
Post a Comment