Mnyama TID amesema kitu ambacho hawezi kukisahau katika maisha yake ni kwenda jela.
“In fact time ambayo nilipata fight nikaenda jela, I was down ,nimeenda jela , so it’s like falling down,” alikiambia kipindi cha XXL.
“Nilivyokuwa nimekaa kula jela and love
ambayo nimepata kutoka kwa watu wa mule ndani lakini nimetoka mpaka leo
am still shining, lakini ili ilikuwa down fall, Mungu amepanga this guy
is an artist, tumembless afanye muziki, inspiration yangu ni kubwa sana, wasanii wengi ambao wamefanya kazi na mimi wamepata hata mafanikio in one way or another kabisa.”
Kwa upande mwingine muimbaji huyo amesema anatarajia kuachia album iitwayo ‘Chumvini’.
“Plan yangu hivi sasa tunatoa album ya Chumvini ,pia tunamaliza kushoot
filamu, tumeanza kushoot baadhi ya scene ili tuzipresent kwa sponsor, we
have a teaser, lakini tutaendelea kufanya vitu ambavyo tunatakiwa
kufanya. Nashukuru ,ungu Jay Mo in the plan , na Jay Mo ni actor mzuri
sana he is a comedian.”
No comments:
Post a Comment