Msanii mkongwe wa muziki kutoka nchini Kenya, Amani amekataa kuweka wazi mipango ya muziki wake pamoja na usimamizi wake.
Hii
ni baada ya lebo ya Ogopa ambayo amefanya nayo kazi kutoka mwaka 1999
alipoanza biashara ya muziki, kusitisha mikataba na wasanii wake wote
mwanzoni mwa mwaka.
Amani amesema kuwa, hawezi kujadiliana kuhusiana na suala hili katika wakati huu bila kuweka
wazi sababu ya kufanya hivyo, ingawa imefahamika kuwa kwa sasa yupo katika mpango wa kurejea kwa mara nyingine katika muziki kwa kishindo.
wazi sababu ya kufanya hivyo, ingawa imefahamika kuwa kwa sasa yupo katika mpango wa kurejea kwa mara nyingine katika muziki kwa kishindo.
Amani wiki kadhaa zilizopita, pia alinukuliwa akisema kuwa, ni kitu kizuri kukaa nje ya muziki
kwa muda ili kuweza kuweka mpango mzuri wa kurudi vizuri.
kwa muda ili kuweza kuweka mpango mzuri wa kurudi vizuri.
No comments:
Post a Comment