Msanii wa muziki wa Bongo fleva Shamte Skide Nasibu,ambyea ana umri wa
miaka 18 aliye ingia kwenye game la muziki Rasimi 2007 kwa kuanza na
ngomayake ya ‘Vikindu’na kutamba kwa ngoma ya ‘Diamond kabla hajatoka’
Ikiwa kwa sasa ana jumla ya nyimbo7 na ngoma ilio mtoa ni ‘Diamond kabla hajatoka’,amedai kuwa Diamond ni ndugu yake wa damu,kwa upande wa baba.
Ikiwa kwa sasa ana jumla ya nyimbo7 na ngoma ilio mtoa ni ‘Diamond kabla hajatoka’,amedai kuwa Diamond ni ndugu yake wa damu,kwa upande wa baba.
“Diamond ni bother wangu kabisa siokwamba najipendekeza tume changia
Baba Mama tofauti kutokana na mzee wetu Nasibu hakuwa mtu wakutulia,
hikindicho kilicho tokea baina yangu na Diamond platnumz lakini kwasasa
nashukuru kidogo uhusinowetu ukopoa tofautina zamani ilikuwa hata ni
kimpigia sim hapokei lakini sasahivi tunawasiliana kamakawaida ingawa
hakuna sapoti yeyote alionipa tofauti na kuwa Real model wangu kwenye
game.
No comments:
Post a Comment