Zikiwa zimepita siku
chache tangu Peter Okoye mmoja wa wasanii mapacha wanaounda kundi la
P-Square kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi. ..Jana (march 22) ilikuwa big day kwa star wa kundi la P-Square Paul Okoye
na mpenzi wake wa miaka kumi Anita Isama, waliofanikisha harusi yao ya
kimila iliyofanyika katika mji wa Port Harcourt, Nigeria na kuhudhuriwa
na ma-star mbalimbali.
Licha ya harusi hiyo kuhudhuriwa na watu wengi maarufu lakini pia
ilioneshwa live na kituo cha runinga cha HIP TV ambacho kinaonekana
kupitia DSTV.
No comments:
Post a Comment