MTV Africa Music Awards zimepangwa kufanyika Africa kusini kwa mara ya
kwanza tangu zianzishwe Rasim 2008 chinini ya ushirikiano wa MTV na
VIMN (Viacom International Media Networks.
Tuzo hizo zimepangwa kufanyika June 7,2014 jijini Durban katika ukumbi wa Durban Internation Convention Centre na zitaoneshwa kupitia MTV Base (DStv 322) na MTV (DStv 130), na tuzo hizo zime lenga katika kusherekea Muziki wa vijana kama vile Bongo fleva Dance Hall Hip Hop R&B,na nyingine.

No comments:
Post a Comment