Ile video iliyokua
ukisubiliwa kwa hamu, iliyojumuisha wasanii wakubwa 19 kutoka pande
mbalimbali za Afika na kufanyika huko nchini Afrika
Kusini itatoka rasmi Tarehe 31 ya mwezi huu. Wasanii kutoka Tanzania
waliotuwakilisha katika video hiyo ni AY na Diamond Platnumz.
Mastar wengine ni Victoria Kimani,DBanji wa Nigeria,Vusi Nova South
Africa,Femi Kuti Nigeria na Wengine wengi. Walioandaa ni Project hiyo ni
shirika la One, huku lengo kubwa la kuwakusanya wasanii hao likuwa ni
kuandaa wimbo mmoja ambao kupinga njaa katika bara la Afrika.
No comments:
Post a Comment