Msimu mpya wa show ya Mkasi unazidi kushamiri. Wiki baada ya wiki, Mkasi inazidi kutambulisha watu kadha wa kadha wenye ushawishi fulani katika jamii (unaweza kuwaita celebrities) ukipenda.
Wiki iliyopita kwenye luninga na wiki hii mtandaoni, Jokate Mwegelo aka Kidoti ndio alikuwa pale Mkasini ambayo safari yake huanzia pale katikati ya jiji ndani ya Amaya Beauty Salon & Spa.
No comments:
Post a Comment