DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, September 25, 2013

[New Music] Peter Msechu – Kenya Itadumu

msechu 
 Msanii Peter Msechu kutoka Tanzania, ameachia wimbo wake mpya uitwao Kenya itadumu, ameutoa wimbo kwa ajili ya kusuport waathirika wa tukio la kigaidi la uvamizi wa Jengo la Kibiashara Wastgate Kenya.
Sikiliza wimbo huo hapochini....



No comments: