
Sio wakina Beyonce tu wanaweza kuanzisha perfume zao sasa Baby Madaha ambaye miezi michache iliyopita alikula mkataba mnono na cand & candy records alisema kwamba ameshazindua perfume zake jijini Nairobi na sasa anakuja kuzindua tena hapa TZ.
kama hiyo haitoshi pia Madaha aliongezea maneno haya kupitia ukurasa wake wa facebook “THATZ MEEE,WAKIWA WANAKAZANA KUUZA SURA MI NAZINDUA MANUKATO YANGU”CANDY N CANDY”KESHOO TZ STAY TUNED I LOVE MA FANS,I CHALLENGE MA HATERS KAZI KWENU AISEE!!!!!!!!!”
EeerrreeeeeY!!!!!!!SMELL LIKE ME THE QUEEN OF SWAGG" KISWAGG ZAIDI SEE MA BRANDY NEW FRAGRANCE "CANDY N CANDY" NAIROBI TAYARI NAW HOMEE SWEETY HOME TZ.... KESHOOO NANI KAFANYA????? HAIJAWAHI KUTOKEA. ..........FOR ALL MA FANZ EN SUPPORTERS KESHO PALE KATI LADY B THE BUTTERFLY Psssssdd!!!!!!SMELL LIKE ME!!!
No comments:
Post a Comment