
Dr Jose Chameleone amepanga kuachia video ya wimbo wake wa Tubonge siku chache zijazo. Kupitia ukurasa wake wa facebook Dr Jose Chameleone aliwataka mashabiki wakae tayari kuwa video.
I have never said what I don't mean, when I say now that TUBONGE Video is charged up, I mean this too! Activating 2014 is what am doing now. I thank my fans for lifting me this high. Be proud to be of the winning team#
TUBONGE:
No comments:
Post a Comment