Lady Jay Dee ni mmoja wa wasanii wa kike waliopata nafasi ya kupiga show kwenye jukwaaa moja na wakali kutoka Nigeria P Square pale kwenye viwanja vya Leaders.
Haya ndiyo maneno aliyosema Lady Jay Dee kwa Watanzania baada ya kumalizika kwa show ya P Square.
“Nawashukuru sana watanzania kwa kuendelea kutupokea na kuonyesha ushirikiano wa kutosha kabisa, hamkutuangusha kwa upande wa Shangwe pale Leaders Club usiku wa jana.. Mungu aendelee kuwabariki na nina warudishia mapenzi tele kwenu nyote.. JIDE”
Nawashukuru sana watanzania kwa kuendelea kutupokea na kuonyesha ushirikiano wa kutosha kabisa, hamkutuangusha kwa upande wa Shangwe pale Leaders Club usiku wa jana.. Mungu aendelee kuwabariki na nina warudishia mapenzi tele kwenu nyote..


No comments:
Post a Comment