Msanii Tunda Man amewataka mashabiki wake kukaa tayari kwa uzinduzi
mkubwa wa kazi yake ya kipekee kabisa kwa mwaka huu, kazi ambayo
inakwenda kwa jina Msambinungwa ambayo amemshirikisha msanii Ally Kiba
ndani yake.
Kazi hii inabeba ujumbe mzito kuhusiana na msichana ama mtu ambaye anajitahidi kuishi maisha ambayo siyo ya ngazi yake ama uhalisia wake, na uzinduzi wake unatarajiwa kuwa tukio la kipekee ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Tunda mwenyewe, kazi hii itazinduliwa kupitia shoo kali ambayo itafanyika ndani ya kiwanja maarufu ndani ya jiji la Dar, na atakuwa na sapoti kubwa sana ya msanii Ally Kiba pamoja na Bob Junior mwenyewe.

No comments:
Post a Comment