DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Tuesday, November 26, 2013

Muthoni adondosha nyingine

 

Muthoni The Drummer Queen kupitia ile project yake ya MDQ Project inayohusisha yeye kuachia kazi moja moja kutoka albam yake mpya kila wiki, amedondosha kazi nyingine ambayo inakwenda kwa jina Hail The Queen.

Msanii huyu kupitia mpango huu ameendelea kujitwalia  sifa kubwa pamoja na mashabiki zaidi,  hasa kutokana na kila kazi mpya inayotoka kuzidi zilizotangulia kwa uzuri.

Kazi hii ambayo imetoka sasa kutoka kwa Muthoni inakuwa ni ya 6 kutoka albam yake mpya, na macho sasa yanaelekezwa mwisho wa wiki hii siku ya Ijumaa ambapo itadondoshwa kazi nyingine kali.

No comments: