Mchiz Mox a.k.a Taicoon Alli ambaye alikuwa ni mmoja kati ya waasisi wa
kundi la Wateule, ameachia rasmi video ya ngoma yake inayokwenda kwa
jina la Piga Makofi.
Kichupa hicho kimegongwa na Image Array Co. chini ya director Abykaz.
Kichupa hicho kimegongwa na Image Array Co. chini ya director Abykaz.
Enjoy da’ video…!!
No comments:
Post a Comment