
‘Friends again’, ni maneno yaliyoandikwa na Amani Joachim (Chief Operations Officers
wa B’Hits), kwenye ukurasa wake wa facebook na kupost link yenye picha
inayowaonesha AY, Mwana FA, na Hermy B wakiwa kwenye picha moja.
Wengine kwenye picha hiyo ni Fid Q, Carol Ndosi na Arthur.
Wengine kwenye picha hiyo ni Fid Q, Carol Ndosi na Arthur.
Picha hiyo imepigwa usiku wa kuamkia leo (November 29) inamuonesha Producer wa ‘Habari Ndiyo Hiyo’ Hermy B baada ya kumwagia ndoo ya maji katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Leo mchana Hermy B amepost picha akiwa na FA uwanja wa ndege wa J.K na kuandika ‘Bday continues’.
source :times fm
No comments:
Post a Comment