Hatimae ile siku ya uzinduzi wa albam ya Kaka Sungura, 'Before the
success, Success begins now' yenye ladha kutoka kwa marapa na prodyuza
kutoka Tanzania imewadia, na tukio hili kubwa litafanyika huko Kenya
siku ya leo.
Kwa mujibu wa Rabbit, hii itakuwa ni albam ya aina yake yenye sehemu mbili ndani yake, na katika tukio hili la uzinduzi, idadi kubwa ya wasanii walishirikishwa ndani ya albam hususan wale wanaotoka Kenya watahudhuria.

No comments:
Post a Comment