Ben Pol, Staa wa muziki wa R&B
aliyeikamata vyema chati hapa nchini Tanzania, tayari amekwishaonyesha
dalili zote za kupasua anga za kimataifa kwa mwaka 2014, na safari hii
ni kupitia tasnia ya uigizaji ambayo ameonyesha kuimudu vizuri.
Hii ni kupitia filamu kali na mpya kabisa ambayo inakwenda kwa jina Sunshine, na ndani yake Ben Pol ameshiriki kama Mhusika Mkuu, na filamu hii inatarajia kuanza kuonyeshwa mwezi ujao kupitia kitu kimoja kikubwa cha nje ya nchi hii.
Ben Pol amewataka mashabiki wake kukaa tarari kutazama kazi hii ambayo dani yake mtayarishaji video mahiri Karabani ameshiriki katika kuitayarisha.

No comments:
Post a Comment