ude
Okoye ambaye ni meneja na pia kaka wa wasanii wa muziki wanaofanya
vizuri Afrika na duniani kwa ujumla kwa sasa, P Square, ameonyesha
dalili zote za kujipanga kuachana na ukapera na kufunga ndoa mwaka huu
mpya wa 2014.
Hatua hii ya Jude ni kufuatia maneno katika mtandao kuwa mwaka 2013 ndio mwaka wake wa mwisho wa ubachela, na sasa anajipanga kwa ajili ya kuwa mtu wa familia zaidi.
Hata hivyo, mpaka sasa Jude bado hajamuweka wazi mwandani wake ambaye anatarajia kufunga naye pingu za maisha, na hii ni kutokana na tabia yake ya kuweka mambo yake mengi mbali na vyombo vya habari.

No comments:
Post a Comment