The long wait is finally over…Kama alivoahidi msanii Gosby,
kuja na video yake mpya siku ya leo, Ijumaa ndicho kilichotokea. Baada
ya kuwaletea picha mbalimbali za behind the scene ya utengenezaji wa
video hiyo siku ya jana, hii hapa Baby Making Swag (BMS) Video iliyotengenezwa na kuongozawa na E Media. Audio ya mdundo huu umefanyika B Hits Studios
No comments:
Post a Comment