Kufuatia kitendo cha kuzushiwa kifo kwa msanii mkongwe hapa nchini, Zay
B, ndugu wa karibu wa msanii huyu amesema kuwa rapa huyu mkongwe wa kike
bado yupo hai na yupo fiti nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam.
Rukii ambaye ni msanii wa muziki na pia shangazi wa Zay B amesema kuwa, amesikitishwa sana na kuona taarifa za kifo cha shangazi yake zinasambazwa wakati hazina ukweli wowote ndani yake.
Hapa Rukii ameeleza kuwa undani kuwa, ameona taarifa hizi kwa njia ya mtandao na kushindwa kuelewa ni kwasababi gani watu wameamua kusambaza taarifa hizi na ni kwa lengo gani ilhali ndugu yake ni mzima kabisa,

No comments:
Post a Comment