Sauti zinazosikika
kwenye mdundo huu ni lafudhi tamu kutoka Kenya. Ni video nzuri ambayo
sauti za vyombo vilivyopangiliwa , zimepangika vizuri na kuzaa mahadhi
ya kihindi.
Calvo Mistari akiwa amemshirikisha rapper,
Bobby Mapesa na kiitikio kufanywa na
Gaza.
Wimbo huu unazungumzia binti mzuri wa kike ambaye amefanikiwa kuuteka
moyo wa kijana wa kiume kwa urembo wake pamoja na maringo yake…
“Umenimaliza” ndiyo jina la wimbo huu kutoka kwenye albamu iitwayo
“Madaraka Madness 2014.”
Itazame video hapa..
No comments:
Post a Comment