Rapa makini kabisa kutoka nchini Kenya,
Octopizzo anajipanga kwa ajili ya kuachia kazi yake mpya ya kufungulia
mwaka 2014, ambapo taarifa za awali zinasema kuwa, msanii huyu atatoa
nafasi ka mashabiki kubunia jina ambalo ameipatia kazi hii, na wale wote
watakaopatia watapata nafasi ya kutokea katika video ya kazi hiyo.
Rapa huyu amejipanga kwa ajili ya kufanya video ya kazi hii huko nchini Nigeria, na hii ni katika kuleta kitu cha tofauti zaidi katika kazi zake kwa mwaka huu.
Msanii huyu kwa sasa anajipanga kwa ajili ya kuanza kuachia kazi hii mpya ambayo mapema wiki ijayo itakuwa tayari katika mzunguko katika vyombo mbalimbali vya habari.

No comments:
Post a Comment