Msanii wa muziki Ben Pol, ambaye ameweka wazi kuwa siku hadi siku ameendelea kufurahishwa na namna ambavyo kazi yake mpya ya Unanichora inavyopokelewa na mashabiki ndani na nje ya nchi, amewataka mashabiki wake kukaa tayari kwa video ya aina yake.
Ben Pol amesema kuwa, Video hii ujio wake utakuwa ni surprise na zawadi maalum kwa ajili ya mashabiki wake, huku akisisitiza kuwa kwa sasa anaendesha mchakato wa kuitengeneza chini ya carpet.
No comments:
Post a Comment