DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, April 9, 2014

DUDUBAYA ASAKWA NA POLISI KWA KOSA LA KUMKATA SIKIO MAMA YAKE MKUBWA,KISA ADAI ANAMROGA

 
 
Msanii wa nguli wa Hip Hop Bongo,Dudubaya anatafutwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa kosa la kumkata sikio mama yake mkubwa akidai kuwa mama yake huyo anamroga(kumfanyia mambo ya kishirikina).
 
 

Kwa mujibu wa mdogo wake aitwaye Muweta alisema kuwa siku ya tukio msanii huyo alimfuata mama yake huyo nyumbani kwake na kumlaza kwenye makochi na kuanza kumkata sikio kwa kisu huku akimwambia kwanini anamroga baada ya kufanya tukio hilo alitokomea kusikojulikana.

No comments: