DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, April 9, 2014

MSHINDI WA TUZO YA AFRICA MAGIC AWARDS AMETOA VIDEO MPYA

 
MSHINDI WA TUZO YA AFRICA MAGIC AWARDS AMETOA VIDEO MPYA
 
Muigizaji maarufu aliyefanikiwa kuchukua Tuzo ya ‘Africa Magic Awards ‘mwanadada Maureen Koech aka ‘Mokko’ mwenye umri wa miaka 24 amerudi kwenye game la muziki wa kizazi kipya.

Muigizaji huyo maarufu ambaye aliyefanikiwa kuchukua Tuzo ya ‘Africa Magic Awards amerudi kwenye game la muziki wa kizazi kipya nchini Nairobi na kuachia video yake inayokwenda kwa jina la ‘Be afraid’. Wimbo huo unao husiana na mapenzi ambao kachanganya lugha mbili kingeleza na Kalenjin kwenye vocal yake.
angalia video yake hapa;
 
 

No comments: