Mtayarishaji wa Muziki wa kizazi kipya Man Walter ameamua kufunguka juu
ya tuzo aliyopata kutokana na maneno ya mtayarishaji mwenzake Sheddy
Clever, na kusema kuwa alistahili kupata tuzo hiyo
Baada
ya mtayarishaji muziki Sheddy Clever kulalamika kukosa tuzo ya
mtayarishaji bora wa muziki wa kizazi kipya huku kazi aliyotengeneza
ikichukua tuzo ya wimbo bora wa kizazi kipya wa mwaka, na kutoa kauli
kuwa hata Man Water ambaye ndiyo ameshinda tuzo ya Mtayarishaji Bora wa
Muziki wa kizazi kipya kwa mwaka huu anafahamu kuwa hakuwa ana stahili
tuzo hii, Man Water mwenyewe ameamua kufunguka juu ya maneno ya Sheddy
Clever.
Mtayarishaji muziki huyu kutoka Combinations Sound amesema kuwa, kushinda kwake tuzo hii licha ya kuchangiwa na mashabiki pia kunatokana na kazi zake kufanya vizuri, na hapa anaeleza zaidi juu ya kauli aliyoitoa Sheddy Clever dhidi yake.

No comments:
Post a Comment