Joseph Haule aka Prof. Jay baada ya kuwa kimya sasa anakuja na ngoma yake
ya ‘Kipi Sijasikia’ akimshirikisha mkali mwingine wa Bongo flava
Diamond Platnumz.
Wimbo wa Prof. Jay umefanyika katika studio ya Bongo Records chini ya producer P.Funk Majani.
Just wait na ujio wa Prof. Jay
Wimbo wa Prof. Jay umefanyika katika studio ya Bongo Records chini ya producer P.Funk Majani.
Just wait na ujio wa Prof. Jay
No comments:
Post a Comment