DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, March 27, 2014

Ommy Dimpoz ndani Muscat, Oman.

ommy 

 Ommy Dimpoz maarufu kama “Dimpoz” Kesho tarehe 28 March, anatarajia kutoa burudani kwa mara ya kwanza wakazi wa Muscat, Oman. Pia Dimpoz ameambatana Manager wake Mubenga pamoja na dancer wake..


No comments: