DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, March 26, 2014

K MSANII KUTOKA ZAMBIA AME-LAUNCH PERFUME ZAKE BONGO

JK MSANII KUTOKA ZAMBIA AME-LAUNCH PERFUME ZAKE BONGO

Msanii anaye-hit’ na masong yake East and Central Afrika anayefahamika kama JK kwa sasa anabamba na wimbo wake wa ‘Telemonde lovin’ na zingine kibao.

JK ni msanii anayefahamika sana Afrika ya Kati kutokana na ngoma zake ku-bang sana pande hizo,kwa sasa yupo Bongo kibiashara pamoja na kazi ya kimuziki, hivi sasa JK ameweza ku-launch manukato yake aina ya ‘Hot Ice’.

No comments: