DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, March 27, 2014

MADEMU KWETU NO “MKUBWA NA WANAE BAND”


































Vijana wanne wanaunda Mkubwa Na Wanae Band Aslay, Maromboso, Becka 1 na Bella kwa sasa wanatamba na kibao chao cha “Ya Moto” wamekuwa gumzo kwa mtaani.

Kwa sasa kila mtu anawatambua kutokana na kazi nzuri wanazozitoa day to day ila tatizo limekuja kuwa wakali hao wamekuwa mwiba mtaani kwa mademu kutokana na umaarufu wao, mwandishi wa BK alivyozipata habari hizo alifanya kuwadodosa wakali hao na kusema.
“Kwanza walimshutumu Aslay kwamba alipata demu tulipoenda kufanya show Mtwara sisi tunakanusha madai hayo na sio kweli kwani kule tulienda kikazi tu na sio kwa ajili ya mapenzi wengi wametushutumu kuhusu hilo, ila ikifika wakati wa hayo mambo si tutawaambia kwani lazima tufikie hatua hiyo.”
Hivi karibuni wanatarajia ku-release single yao mpya inayoelezea tuzo ya mapenzi amepewe nanii ianayokwenda kwa jina la “APEWE NANI”.


No comments: